Mwenyekiti wa Chama Cha Wafugaji Taifa,George G.Bajuta kulia akiwa ameongozana na Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete katikati na Mbunge wa Mtera ,Mhe.Livingstone Lusinde wakati akielekea katika ukumbi wa Bunge kusikiliza ripoti ya kamati maalumu ya Bunge kuhusu Migogoro ya ardhi.
 Mhe. Ole Sendeka akipongezwa na jamii ya wafugaji kutoka Mkoa wa Manyara waliofika kufuatilia kikao cha bunge leo mara baada ya kumaliza kuwasiloisha ripoti ya kamati teule iliyo kuwa inashughulikia migogoro ya Ardhi hapa Nchini.
Mwenyekiti wa Chama Cha Wafugaji Taifa,George G.Bajuta akiwa anazungumza na waandishi wa habari mara baada ya Bunge kusikiliza ripoti ya kamati maalumu ya Bunge kuhusu Migogoro ya ardhi iliyo wasilishwa na Mhe. Ole Sendeka.
Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii Kanda ya Kati

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...