Kiwanja kina ukubwa wa 7,720 sqm ( Zaidi ya acre moja na nusu), Kipo Kiharaka, Bagamoyo umbali wa kama 5km kutoka baharini. Kina ardhi nzuri yenye rutuba, kipo tambalale. 
Kipo karibu na mradi mpya wa kumbi za mikutano na pia karibu na kivuko kipya cha Bagamoyo kwenda Posta. Nguzo za umeme  na maji ya dawasco yako karibu. Bei ya kiwanja ni Tshs 395,000,000/=. Hati miliki itashughulikiwa kwa makubaliano maalum kati ya muuzaji na mnunuzi. kwa mawasiliano zaidi piga number 0766 333 700
 Tambalale

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Heka moja pesa zote hizo kwa Bagamoyo!!

    By the way hapa Tanzania MIKOPO ya NYUMBA inatozwa RIBA KUBWA kuliko USA na EU. UK sasa RIBA ya Mortgage ni 2% wakati hapa Tanzania ni 21%.

    ReplyDelete
  2. Mkuu bagamoyo sasa hivi hakushikiki. Viwanja vya 1600 sqm vinauzwa mpaka 250ml. Na ukipewakiwanja cha bei chee kwa sasa bagamoyo kimbia wengi ni matapeli wanaotaka pesa hataka haraka ndio wanauza bei unazodhani. Miradi mingi inafanyika bagamoyo ukiwepo bsndari ya east africa na hizi zimepandisha sana thamani ya ardhi bagamoyo. Basda y miaka miwili ardhi ya bagamoyo haita shikika. Wanaojua bri ya viwanja halali bagamoyo sidhani kama wameona hili tangazo na kama wamelionahiki kiwanja kitakuwakimeisha uzwa. Bei iko fair sana tena kwa ukubwa wa eneo na linavyoonekana bei iko chini

    ReplyDelete
  3. kiwanja bei haipungui kidogo? Kinahitajika haraka ila tunaomba ounguzo kidogo ndugu yangu

    ReplyDelete
  4. Anonymous bagamoyo ya sasa si uijuayo ndugu. Huyo huyo mwenye hili tangazo sidhani kama ni dalali maana akikishika dalali hicho kiwanja mtaambiwa usd 800,000 na kuendelea hasa ukivhukulia kiwanja eneo kilipo na huo mjengo nao uona mbele na ardhi inaonekana haijasumbuliwa kabisa. Wengine ni uwezo tu.

    ReplyDelete
  5. Hiyo ni eka mbili kasoro kama sq mia mbili kasoro kwa upeo wangu. Bei fair kabisa sema mfuko wako ndio haufiki hapo. Mimi ningeuza si chini ya 500 milioni hapo. Mkuu tuitie muhusika tujue je terms za malipo

    ReplyDelete
  6. Punguzo lipo wasiliana nami kwa number hii 0766 333 700 kwa maelezo zaidi. karibuni sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...