Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Ali Juma Shamuhuna, kwa Waziri Mkuu wa Qatar sheikh Abdallah Bin Nasser Bin Khalifa Al-Thani walipokutana leo mjini Doha, Qatar.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar sheikh Abdallah Bin Nasser Bin Khalifa Al-Thani walipokutana leo mjini Doha, Qatar.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Waziri wa Mambo ya nje wa Qatar Dr. Khalid bin Mohammed Al-Attiyah mjini Doha. Kushoto ni Waziri wa Nchi, OMKR Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej na kulia ni msaidizi wa Waziri wa Qatar.
  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na ujumbe wake, wakiongozana na Waziri wa Mambo ya nje wa Qatar Dr. Khalid bin Mohammed Al-Attiyah mjini Doha.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na  Waziri wa Mambo ya nje wa Qatar Dr. Khalid bin Mohammed Al-Attiyah mjini Doha. (Picha na Salmin Said, OMKR).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Inna Lillahi Wainnna Illaihi Raajuun
    Tunasikitika kutangaza msiba wa bi KIJAKAZI SAID KYELULA aliyefariki nyumbani kwake mikocheni tarehe 12/february/2015 atazikwa siku ya tarehe 13/02/2015 mtoni kijichi na ataswaliwa katika msikiti wa regent-estatesn victoria baada ya swala ya ijumaa msiba upo nyumbani kwake regent-estates victoria.....
    ALLAH Amfanyie wepesi katika safari yake na amjalie awe katika waja waliojaaliwa pepo...
    AMEEN!...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...