Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akimsikiliza mtoto mwenye mahitaji maalum Mohammed Hashim aliyeweza kuimba vizuri wimbo wa Taifa.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza mtoto Mohammed Hashim mara baada ya kuimba wimbo wa Taifa.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kufundisha darasa la wanafunzi wenye mahitaji maalum wanaosoma katika Shule ya Msingi Mpilipili huko Lindi tarehe 11.2.2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete aizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mpilipili mara baada ya kutembelea kitengo cha elimu maalum shuleni hapo tarehe 11.2.2015.
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM Mama Salma Kikwete akisahihisha madaftari ya wanafunzi wenye mahitaji maalum wanaosoma Shule ya Msingi Mpilipili katika Manispaa ya Lindi mara baada ya kuwafundisha na kuwapa zoezi wanafunzi hao.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...