Naibu waziri wa maji Amos Makalla amefanya ziara katika halmshauri ya Babati vijijini,Babati mji
Na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Babati(BAWASA).
Katika halmashauri ya Babati vijijini ameweka jiwe la msingi mradi mkubwa wa maji kijiji cha Riroda wananchi 4000 wanapata maji safi
Katika Halmashauri ya Babati mji ameweka jiwe la msingi mradi wa maji wa Managhat watu zaidi ya 3,000 watanufaika kuanzia kesho
Aidha ameweka jiwe la msingi jengo kubwa la kisasa la mamlaka ya maji Babati lenye thamani ya shilling Bilioni 2.4 na litakamilika mapema Aprili mwaka huu
.jpg) |
Naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla akipokewa kwa furaha na wanafunzi wa sekondari ya chifu Dodo kuona kituo cha maji Baaada ya kuweka jiwe la msingi mradi maji kijiji cha Riroda |
.jpg) |
Naibu waziri wa maji Amos makalla akifungua bomba mradi maji kijiji cha Riroda -Babati |
.jpg) |
Naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla akisoma maneno katika jiwe la msingi aliloweka kijiji cha managhat |
.jpg) |
Naibu waziri aw maji Amos makalla( katikati) na mkuu wa mkoa wa mkoa wa Manyara Dr Joel Bendera wakimsikiliza mkurugenzi wa mamlaka ya maji Babati ndg Yazidu Msangi |
.jpg) |
Naibu waziri wa maji akifurahia jambo na mkuu aw mkoa wa manyara halfa ya uwekaji jiwe la msingi jengo la mamlaka ya maji Babati |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...