Bwana Harusi Maneno Abdallah na Mkewe Bi Nusrat Tahwa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga ndoa hapo jana
Bwana harusi akielekea kuchukua jiko lake Kimara huku akisindikizwa na wapambe na Mshenga wake.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hongera kwa kupata jiko Bwana Maneno.
ReplyDeleteInshaallah Mwenyezi Mungu awajaalie iwe ndoa ya kheri, muishi kwa miaka mingi kwa furaha na amani, na awajaalie mupate watoto watakaokua na kheri na nyinyi.