Bwana Harusi Maneno Abdallah na Mkewe Bi Nusrat Tahwa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga ndoa hapo jana
 Bwana harusi akielekea kuchukua jiko lake Kimara huku akisindikizwa na wapambe na Mshenga wake.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera kwa kupata jiko Bwana Maneno.

    Inshaallah Mwenyezi Mungu awajaalie iwe ndoa ya kheri, muishi kwa miaka mingi kwa furaha na amani, na awajaalie mupate watoto watakaokua na kheri na nyinyi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...