Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akikata utepe kuzindua Daraja la Mabwepande, Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Eng. Mussa Nati akizungumza wakati wa kikao cha wenyeviti wa Serikali za Mitaa,uliofanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na wenyeviti wa Serikali za Mitaa.
Wenyeviti wa Serikali za mitaa, manispaa ya Kinondoni wakimsikiliza Meya Yusuph Mwenda.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (wa pili kushoto), Naibu Meya, Songoro Mnyonge (wa pili kulia), Afisa Utumishi wa Manispaa, Mgomi (kulia) wakifuatilia kikao hicho.
Kwanini kila kitu kidogo nchi hiyo lazima kizinduliwe? Ni hapa kwetu tu hakuna sehemu nyingine duniani kunafanyika sherehe za kutumia pesa kuzindua miradi midogo midogo ambayo ni ya kawaida sana. Hapo sherehe hizo zinatumia fedha za kulisha wanasiasa na kujichotea fedha zingine kwa kisingizio cha ufunguzi/uzinduzi.
ReplyDelete