Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Chifu wa Wahehe , Mtwa Adam Mkwakwa wa II wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika dua mbele ya kaburi la marehemu Chifu Abdu Adam Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chifu huyo, Kalenga Iringa kuhani Februari 20, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chief wa Wahehe,Mtwa Adam Mkwawa wa II wakati alipokwenda nyumbani kwa Chifu huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015 kuhani msiba wa baba yake Chifu huyo, Marehemu Chifu Abdu Adam Sapi Mkwawa uliotokea hivi karibuni.
Jamani huyo kijana mdogo munamtwisha mzigo mkubwa, asije sahau majukumu yake ya kujipatia elimu na kujiendeleza kwa sababu ya uchifu.
ReplyDelete