Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Well spoken, short and clear and the message has instantly delivered.....

    ReplyDelete
  2. Well done bro., hon. Mrema...he has been use since back in a days till today.., try to destroy someone when is too late.we don't need people under someone, tanzania ya leo ya kupigwa Kila kona, watu umaskini unatisha.
    Watu wanaelekea kuamka..shame!
    Mdau jp.

    ReplyDelete
  3. Delivered to who!!??

    ReplyDelete
  4. Okay okay people, who people dislike each other ? It is a shame that we don't see where the problem is!!!

    Jamaa hata kama ni mzee ana haki yake kusema yale yanayomuuma moyoni. Hata jamaa ilibidi aseme samahani mzee, kama niliyosema yamekuuma, sikumaanisha hivyo. Tuishi kwa upendo maana chuki ni chanzo cha mambo mengi hapa duniani. Yawe madogo yawe makubwa.

    Mpenda Wema na Amani

    ReplyDelete
  5. Siasa ziwe za hoja na sera sio kuchafuana

    ReplyDelete
  6. Pamoja na kwamba hamna mwenye hati miliki ya jimbo, lakini bado Mbatia hajajibu tuhuma zilizoelekezwa kwake na Mrema (anagalu kwa mujibu wa video hii). Kama ni kweli Mbatia amesema maneno yale dhidi ya Mrema kule Vunjo, hii inadhihirisha tena jinsi Mbatia alivyo mroho wa madaraka kiasi cha kufikia hata kudhalilisha na kunyanyapaa wenzie kisa ubunge. Kama kweli anajiamini kwamba atachaguliwa jimbo la Vunjo, kwanini amzushie Mrema maradhi na kifo?? Hii ni siasa chafu na anastahili aonywe mapema, maana kampeni zikija kuanza rasmi si ndio atakuwa tayari kumtoa hata mtu roho! Mbatia ni mroho sana wa madaraka na ndio maana mpaka leo hataki kuachia uenyekiti wa NCCR, na hii inaonyesha kwamba yeye ndiye anadhani ana hati miliki ya chama hicho wakati si kweli. Anawatuhumu watu kwamba hawana hati miliki za majimbo wakati yeye anatawala NCCR kama ana hati miliki, sio unafiki huu?? Anajifanya anamjua sana mungu, wakati ni mnafiki mkubwa!!

    ReplyDelete
  7. Mbatia anamueonea wivu huyu mzee basi kama yeye anaubavu basi arudi jimbo alilogombea 2010 au aende kwa Mbowe. Na pia ingekuwa vizuri huko bungeni asikae karibu na huyo Mzee Mrema maana ataendelea kumpa kichefuchefu kama amnachokitowa na wenzake wa UKAWA kwa Watanzania.

    ReplyDelete
  8. Mrema amejisemea kilichomgusa. Mbatia hana mamlaka yoyote ya kutangaza ungojwa alionao mrema na kusema atakufa kwani yeye Mungu? Amuheshimu mrema. Inasikitisha kwa kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...