Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akikata utepe kuashiria kukabidhi mashine wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akikabidhi mashine kwa viongozi wa vkundi vya vijana wa Dar es Salaam wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akizungumza wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana.
Mkuu wa wilaya ya Temeke akizungumza wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana. Picha zaidi BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...