Leo katika pitapita zangu nikitokea Barabara ya Msimbazi kuelekea Mjini,kushoto kuna kibao kinachozuia magari yanayotoka barabara hiyo kwenda mjini na hapo hapo kuna mchoro mwingine unaoonyesha kuwa anataka kuelekea mjini basi aende mbele na azunguke kama inavyoonekana hapo pichani.lakini kinachonimiksi mie ni namna gani naenda kuipiga hiyo kyuutani????
Home
Unlabelled
MSAADA TUTANI WADAU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
fata kama inavyoonyesha hapo.....ina maana kuna barabara nyuingine to your right before this junction ambayo ukizunguka hivyo unarudi to cross this road you are now and go straight!
ReplyDeletemdau hapo hakuna tatizo lolote bali uelewa wako tu mdogo. labda leseni uliletewa home.
ReplyDeletehapo maana yake ni kuwa unakata kona kushoto kasha utatemebea kidogo na kukata kona tena kushoto na baada ya hapo ukifuata moja kwa moja utaipata barabara ya kwenda town kama wadau wengine hapo wafanyavyo.
maelekezo yapo wazi hakuna utata wowote hapo.
Ngoja wazee wa feva wakudake
ReplyDeleteJamaa aliyesema haelewi vipi hapa, afanya midhhaka tu bila shaka.Ananikumbusha dreva mjanja kutoka bara ambaye alisimamiswa na trafik kwa kujump red lights When questioned why, he answered, am I supposed to stop there? Traffic asked him what do you think the lights are for, he answered: Nilifikiri ni mapambo ya mji,The traffic cop laughed and let him go.
ReplyDeleteWengi wetu hatukuzowea kufuata maelekezo. Fuata ulivyoelekezwa uone kama utapotea.
ReplyDeleteMleta hoja upo sahihi hicho kibao hakijitoshelezi kinamapungufu katika muelekezo wake. Mi ninavyoona hiyo alama ya kuzuia kukata kulia ingekuwa chini ya neno city centre pia kungekua na alama kwenye neno city centre kuonyesha kata kushoto barabara inayofuatia ndio unapata njia ya kwenda citry centre. Huo mshale huko juu unaonekana hauna mahusiano na mchoro wa chini kawni hiyo barabara inaendelea. Ni maono yangu tu wadau.
ReplyDeletewewe wa juu uliyeanza mleta hoja....
ReplyDeletehiyo alama ya no right turn ni kwa ajili ya barabara inayofata. na kwa ramani insyofata yaani kwenda kulia ni hiyo ya kwenda city center.
mchoro wa mtu kuzunguka upo sahihi tabu ni kwa asiyejua kuelewa na kupiga mahesabu haraka.
Unatakiwa uende moja kwa moja .... Paka barabara inayoenda mzizima sec.... Alafu unakata kushoto.... Unakutana na barabara ya united nation road.... Alafu unarudi... Unakutana na fire....
ReplyDeleteHapa kila kitu kipo wazi kwa dereva aliyesomea udereva. Lakini kila mtu anatafuta kitu cha kudharau sheria za nchi zetu kwa vile ni watu weusi. Tumezoea kujidharau wenyewe kwa vile utumwa umetulewesha kama madawa ya kulevya. Katika alama hizo hapo kila kitu kipo wazi kabisa nini cha kulalamikiwa hapo?????
ReplyDelete