Leo katika pitapita zangu nikitokea Barabara ya Msimbazi kuelekea Mjini,kushoto kuna kibao kinachozuia magari yanayotoka barabara hiyo kwenda mjini na hapo hapo kuna mchoro mwingine unaoonyesha kuwa anataka kuelekea mjini basi aende mbele na azunguke kama inavyoonekana hapo pichani.lakini kinachonimiksi mie ni namna gani naenda kuipiga hiyo kyuutani????

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. fata kama inavyoonyesha hapo.....ina maana kuna barabara nyuingine to your right before this junction ambayo ukizunguka hivyo unarudi to cross this road you are now and go straight!

    ReplyDelete
  2. mdau hapo hakuna tatizo lolote bali uelewa wako tu mdogo. labda leseni uliletewa home.

    hapo maana yake ni kuwa unakata kona kushoto kasha utatemebea kidogo na kukata kona tena kushoto na baada ya hapo ukifuata moja kwa moja utaipata barabara ya kwenda town kama wadau wengine hapo wafanyavyo.

    maelekezo yapo wazi hakuna utata wowote hapo.

    ReplyDelete
  3. Ngoja wazee wa feva wakudake

    ReplyDelete
  4. Jamaa aliyesema haelewi vipi hapa, afanya midhhaka tu bila shaka.Ananikumbusha dreva mjanja kutoka bara ambaye alisimamiswa na trafik kwa kujump red lights When questioned why, he answered, am I supposed to stop there? Traffic asked him what do you think the lights are for, he answered: Nilifikiri ni mapambo ya mji,The traffic cop laughed and let him go.

    ReplyDelete
  5. Wengi wetu hatukuzowea kufuata maelekezo. Fuata ulivyoelekezwa uone kama utapotea.

    ReplyDelete
  6. Mleta hoja upo sahihi hicho kibao hakijitoshelezi kinamapungufu katika muelekezo wake. Mi ninavyoona hiyo alama ya kuzuia kukata kulia ingekuwa chini ya neno city centre pia kungekua na alama kwenye neno city centre kuonyesha kata kushoto barabara inayofuatia ndio unapata njia ya kwenda citry centre. Huo mshale huko juu unaonekana hauna mahusiano na mchoro wa chini kawni hiyo barabara inaendelea. Ni maono yangu tu wadau.

    ReplyDelete
  7. wewe wa juu uliyeanza mleta hoja....

    hiyo alama ya no right turn ni kwa ajili ya barabara inayofata. na kwa ramani insyofata yaani kwenda kulia ni hiyo ya kwenda city center.

    mchoro wa mtu kuzunguka upo sahihi tabu ni kwa asiyejua kuelewa na kupiga mahesabu haraka.

    ReplyDelete
  8. Unatakiwa uende moja kwa moja .... Paka barabara inayoenda mzizima sec.... Alafu unakata kushoto.... Unakutana na barabara ya united nation road.... Alafu unarudi... Unakutana na fire....

    ReplyDelete
  9. Hapa kila kitu kipo wazi kwa dereva aliyesomea udereva. Lakini kila mtu anatafuta kitu cha kudharau sheria za nchi zetu kwa vile ni watu weusi. Tumezoea kujidharau wenyewe kwa vile utumwa umetulewesha kama madawa ya kulevya. Katika alama hizo hapo kila kitu kipo wazi kabisa nini cha kulalamikiwa hapo?????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...