Si Kila Unayemkuta Kijijini ni mshamba wengine wanajua na wanaweza kuliko wewe. Mzee Mbunda na wajukuu zake jembe na Edo Madirector Kutoka mjini wanaingia kijijini na kuwa na maisha ya kimbulu yaani Paka liloshindikana ila wnakwaa visiki baada ya kukutana na wanakijiji wanajua zaidi yao
Pata Filamu hii ya Kimbulu Kupitia Mtandao Taarifa nzuri zaidi ni kwamba Filamu zote za Kiswahili unaweza Kuzipata kupitia mtandao au ukaziangalia kupitia mtandao au kununua pia popote pale duniani
Tembelea Tovuti hii kwa kuangalia au kununua filamu hii ya KIMBULU na nyingine nyingi tu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani mbona mmetumia maandishi mekundu????

    Katika desturi yetu unapotumia maandishi mekundu inamaanisha hali mbaya au unataka kutoa taarifa mbaya.

    Editor wa blog vipi leo?

    Rekebisha bwana
    Asante


    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...