Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa juu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam
uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo February 9, 2015.
Ujumbe huo umeongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri
Tanzania Dkt Alex Malasusa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la
Nyumba la taifa (NHC) na Mwenyekiti wa Harambee ya chuo hicho ambacho
kinamilikiwa na kanisa la KKKT.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na uongozi wa juu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo February 9, 2015. Ujumbe huo umeongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania Dkt Alex Malasusa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba la taifa (NHC) na Mwenyekiti wa Harambee ya chuo hicho ambacho kinamilikiwa na kanisa la KKKT. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...