Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Kiongozi wa madhehebu ya
Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kumkabidhi hati
ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23,
2015 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kiongozi wa madhehebu ya
Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan
kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es
salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongeqa kwa furaha na
Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea
baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es
salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam. 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana tayari kwa kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...