Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. This abduction should be condemned with the strongest terms possible. It takes away human dignity, dehumanizes a section of the population, its just an utter violation of human rights. The fact that one is ready to maim to abduct a one and a half year old baby is sickening to say the least.

    ReplyDelete
  2. Hivi, hili tatizo la kuuawa kwa Albino Tanzania lini litafika mwisho. Nani atakayeweza kulimaliza hili tatizo. Kiongozi gani atakayekuja na kuona uchungu juu ya mauaji ya watoto wa Mungu hawa wasio na hatia wanaokufa hovyohovyo kwa imani za ajabu za ushirikina? Inauma sana, inauma mno mno na inatia uchungu sana kwa watu wanaoamini kuwa binadamu mwenzako ni sababu ya utajiri wako sielewi na sitaelewa hata siku moja. Ee Mungu tunaomba uwalinde wanao maana sasa hili limekuwa mchezo mchezo Tanzania. Mimi sijawahi kuona wauaji wa Albino wamekamatwa na wamesimama mahakamani lakini kila leo albino wanauwawa, sijui hili likoje. Ee Mungu utusamehe hii dhambi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...