Home
Unlabelled
TAARIFA YA KAMANDA KOVA KUZUIA MAANDAMANO YA UVCCM WILAYA YA ILALA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Binafsi, namshukuru na kumpongeza Kamanda Kova kwa ufafanuzi wake. Utaratibu huu wa kufafanua mambo utapunguza na labda kufuta dhana zilizojengeka vichwani mwa wengi wetu kwamba polisi wanafanya shughuli kwa shinikizo au faida ya CCM dhidi ya wapinzani. Napenda nitamke hapa kuwa mimi ni raia ambaye sina chama.
ReplyDeletePolisi wanayo fursa ya kusafisha hali ya hewa, na alichofanya Kamanda Kova ndio njia itakiwayo. Kila la heri, Kamanda.