Kupitia mtandao huu wa jamii, ninayoheshima kuwakaribisha watu wote kutoka jiji hili la Dallas na vitongoji vyake katika TAMASHA KUBWA LA UIMBAJI litakalofanyika katika mji wetu.Tamasha hili litatanguliwa na chakula cha pamoja saa kumi na moja kamili mpaka saa kumi na mbili jioni.
Karibuni sana.
Pastor Absalom
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...