Mwandishi
wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Nd. Abdi Shamna akiuliza
swali kuhusiana na Tenzi Dume wakati wa maadhimisho hayo.
Naibu
Waziri wa Afya Mhe. Mahamoud Thabit Kombo akizunguza na wajumbe na waandishi wa
habari jinsi ya kuwaelimisha wananchi juu ya kupambana na ugonjwa huo.
Naibu
Mwenyekiti wa Jumuiya ya watu wanaoishi na Saratani Zanzibar Bi. Mwanahamisi Moh’d
Abdalla ambae pia ni muhanga wa ugonjwa wa Saratani akitoa ufafanuzi jinsi
alivyopambana na ugonjwa huo na hatimaye kupona kabisa katika siku ya maadhimisho ya siku ya Saratani
Duniani kwa upande wa Zanzibar.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya watu wanaoishi na Saratani
Zanzibar Dkt. Msafiri Marjani akitoa elimu juu ya ugonjwa wa Saratani katika
mkutano wa maadhimisho ya siku ya Saratani Duniani uliofanyika ofisini kwao Mpendae
Zanzibar. PICHA
NA ABDALLA OMAR - MAELEZO, ZANZIBAR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...