DUZE DAVID
TUSEKELEGE .
MTOTO WA KIUME DUZE DAVID TUSEKELEGE MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU KATIKA SHULE YA
SEKONDARI AMKA ILIYOPO IGAWILO UYOLE MKOANI MBEYA AMETOWEKA NYUMBANI MAENEO YA SOWETO KWA
MAMA JOHN TANGU TAREHE 04 JANUARY 2015.
MTOTO HUYO NI MWEUPE WA KIMO CHA
WASTANI, TUNAOMBA MTU YEYOTE ATAKAYE MUONA ATOE TAARIFA KATIKA KITUO CHA POLISI KILICHO KARIBU. TAARIFA YA POLISI
NI RB 71/2015 YA TAREHE 08/01/2015 AU ATUTAARIFU KWA NAMBA ZA SIMU ZIFUATAZO – 0756 033 340, 0764 504 904 , 0784
509 808 AU 0719 011 099.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...