Rais wa Cape Verde,Mhe. Jorge Carlos Fonseca akihutubia wakati wa kufungua mkutano wa Mawaziri wanaosimamia huduma za hali ya hewa za umoja wa Afrika, uliofanyika nchini Cape Verde kuanzia tarehe 12-14 Februari 2014.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi sambamba na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi,Dkt. Pascal Waniha wakiwa katika ushiriki wa mkutano huo.
Viongozi wa Mamlaka za Hali ya Hewa Afrika katika picha ya pamoja ambapo walikutana kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo na changamoto kabla ya mkutano huo.

AMCOMET (African Ministerial Committee for Meteorology) ni Kamisheni ya Mawaziri wanaosimamia huduma za hali ya Hewa Umoja wa Afrika mwaka huu umefanyika katik visiwa vya Cape Verde.Tanzania iliwakilishwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. Dkt. Charles Tibeza. Kabla ya Mkutano huo Mkutano huo, Viongozi wa Mamlaka za Hali ya Hewa Afrika walikutana katika mkutano wao kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo na changamoto katika Regional one meeting RA-1 na Technical Meeting ya AMCOMET

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...