Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa sera ya Diplomasia ya uchumi, Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa uliandaa hafla maalum kwa ajili ya mawakala wa safari (Tour operators) iliyofanyika mjini Paris Ijumaa Februari 6, 2015
Madhumuni ya hafla hii ni kuitangazia Tanzania na vivutio vyake vya utalii kwa mawakala wa safari (Tour operators) ambao ni wadau wakubwa kutokana na ushawishi wao kwa watalii wa Ufaransa wanaotaka kutembelea Tanzania.
 |
Baadhi ya wadau wa utalii wakimsikiliza Mh Balozi Begum Taj |
 |
Wageni wakionja baadhi ya vyakula vya kitanzania |
 |
Ukarimu kwa wageni ni tunu ya watanzania |
 |
Picha ya jumla wa walioshiriki katika hafla ya kuitangaza Tanzania |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...