Ndugu Mteja,
Benki yako ya CRDB kinara wa ubunifu na bidhaa tele sokoni, inakuletelea kampeni kabambe ya Tuma Pesa na SimBanking shinda PASSO . Kampeni hii inahusisha moja ya bidhaa bora, salama na rahisi kutumia ya SimBanking inayokuwezesha kufanya miamala mbalimbali ya kibenki pale ulipo ndani na nje ya nchi pasi kuhitaji kufika kwenye matawi yetu.
Kushiri ki na kushinda kwenye kampeni hii ya Tuma Pesa na SimBanking shinda PASSO tumia huduma ya SimBanking mara nyingi uwezavyo kutuma pesa kwa uwapendao, washirika wako wa biashara au kulipia manunuzi mbalimbali. Pia lipia karo za shule na tuma pesa kwa Cardless. Ufanyapo miamala hii mara nyingi zaidi ndipo unaopojihakikishia nafasi nzuri zaidi ya kujishindia zawadi kila mwezi.
Kujisajili na huduma ya SimBanking
Piga *150*03# na kisha ufuate maelekezo.
Washindi watajulishwa kupitia namba 0789197700 na kwa mawasiliano zaidi kuhusiana na kampeni hii wasiliana nasi kupitia 0755197700 aucustomer_hotline@crdbbank.com
Tuma Pesa na SimBanking shinda Passo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...