Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na mwanamuziki mkongwe wa Bongo Flava, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA wakati mwanamuziki huyo alipokutana na Waziri huyo jijini Washington DC katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Waziri Chikawe yupo nchini humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani, na kwa upande wa Mwana FA yupo nchini Marekani kwa ajili ya matembezi yake binafsi hata hivyo alienda ubalozini hapo kwa ajili ya kumsalimia Balozi
Home
Unlabelled
WAZIRI CHIKAWE NA MWANA FA WATEMBELEA UBALOZI WETU MAREKANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongereni sana, hii inaonyesha uhusiano mzuri alionao Balozi wetu na Watanzania wenzake.
ReplyDeleteNamkumbuka alipokuwa Canada mama huyu akitutumia fedha za kusherehekea mwaka mpya (sikumbuki vizuri)sisi wanafunzi tuliokuwepo Chuoni kipindi kile.
Of course tulikuwa wanafunzi wachache tu siyo kama sasa hivi.