Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Ndg Salim, akizungumza wakati wa mahafali hayo ya Vijana 18 waliohitimu mafunzo ya huduma ya kieletronic ya huduma ya ukataji wa tiketi za ndege yanayotolewa na Travelport kwa kushirikiana na kampuni ya Zenith Tour ya Zanzibar.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Travelport Tanzania Bi Margret Lislie, akizungumza wakati wa hafla ya Mahafali ya tatu ya Chuo cha Travelport yaliofanyika katika ukumbi wa chuo hicho kilichopo katika jengo la Zanlik majestic Zanzibar.
Wahitimu wakimsikiliza Mkurugenzi wa Zenith Tour akitowa nasaha zake kwa wahitimu hao.wakati wa hafla ya mahafali ya tatu ya chuo hicho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...