Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa Elisha (kulia) akiwapungia mikono wanachama alipokua akiingia katika Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Salaam jana. (kushoto) ni Kiongizi MKuu wa chama hicho,Zitto Kabwe.
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa Elisha Akiwashukuru wanachama wote walioshiriki walio kiunga Mkono chama hicho nawaliotoka vyama vingine wakiwemo viongozi na Taasisi Mbalimbali.
Baadhi ya wajumbe na Viongozi wa Chama hicho wakimsikiliza Zitto Kabwe alipo kua akizindua Mkutano wa Chama hicho(wa tatu kushoto) ni Baba wa Kiongizi MKuu wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.
NIMEWAPENDA SANA KUMBE UMOJA NI NGUVU, PIGENI KAZI DEMOKRASIA YA KWELI ITATOKA HUMU. MTANI WANGU ZITO JEMBE, AMA KWELI JANA WAKATI NAWAFUATILIA NILIPIGWA NA BUTWAA ILE MBAYA, WANACHAMA KIBAO. SASA NIWATIE MOYO. MUWE KITU KIMOJA, MALUMBANO MSIINGILIE, MUAMINIANE, MUWE WAAMINIFU KWA WATANZANIA, CHA MSINGI JENGENI CHAMA KWA NGUVU ZOTE, WABUNGE WAWE WENGI MWAKANI. TUKO NYUMA YENU.
ReplyDelete