Mwenyekiti wa Chama cha  Alliance for change and Transparecy (ACT)  Anaa Elisha (kulia) akiwapungia mikono wanachama alipokua akiingia katika Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Salaam jana. (kushoto) ni  Kiongizi MKuu wa chama  hicho,Zitto Kabwe.
 Mwenyekiti wa Chama cha  Alliance for change and Transparecy (ACT)  Anaa Elisha Akiwashukuru wanachama wote walioshiriki walio kiunga Mkono chama hicho nawaliotoka vyama vingine wakiwemo viongozi na Taasisi Mbalimbali.
Baadhi ya wajumbe na Viongozi wa Chama hicho wakimsikiliza Zitto Kabwe alipo kua akizindua Mkutano wa Chama hicho(wa tatu kushoto) ni Baba wa  Kiongizi MKuu wa chama  hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.
Wafuasi wa chama hicho wakijiandikisha na kupatakadi ya Uanachama.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. NIMEWAPENDA SANA KUMBE UMOJA NI NGUVU, PIGENI KAZI DEMOKRASIA YA KWELI ITATOKA HUMU. MTANI WANGU ZITO JEMBE, AMA KWELI JANA WAKATI NAWAFUATILIA NILIPIGWA NA BUTWAA ILE MBAYA, WANACHAMA KIBAO. SASA NIWATIE MOYO. MUWE KITU KIMOJA, MALUMBANO MSIINGILIE, MUAMINIANE, MUWE WAAMINIFU KWA WATANZANIA, CHA MSINGI JENGENI CHAMA KWA NGUVU ZOTE, WABUNGE WAWE WENGI MWAKANI. TUKO NYUMA YENU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...