Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa kampuni ya Brussels Airline Mhe. David Lyssens (kulia) baada ya kumaliza kikao naye ofisini kwake Brussels. Kushoto ni Bwana Geoffrey Kabakaki Mchumi Mhandamizi Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Balozi Kamala ameiomba kampuni hiyo kuingia kwenye biashara ya usafiri wa anga Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naomba nimpongeze Mh Balozi kwa juhudi zake kwa kukutana na wadau mbali mbali. Lazima tumshukuru mabalozi kama hawa! Naamini wengine pia wanaitumikia taifa; lakini kama hawatatujulisha - sisi hatuwezi kujua michango yao! Balozi Kamala ni mfano mzuri wa kuigwa. Kama tungekuwa na "Tuzi ya Balozi wa mwaka"; nisinge-hesitate kum-nominate!

    Kampuni ya ndege ya Brussels, tukiachana na TZ, kinahudumia nchi zote za EAC http://www.brusselsairlines.com/en-uk/destinations/africa/african-corner.aspx Pia, tunaomba makampuni zingine (kama Lufthansa na BA] zianze kutua moja kwa moja JNIA, AAKIA na KIA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...