Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa kampuni ya Brussels Airline Mhe. David Lyssens (kulia) baada ya kumaliza kikao naye ofisini kwake Brussels. Kushoto ni Bwana Geoffrey Kabakaki Mchumi Mhandamizi Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Balozi Kamala ameiomba kampuni hiyo kuingia kwenye biashara ya usafiri wa anga Tanzania.
Home
Unlabelled
BALOZI KAMALA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA BRUSSELS AIRLINE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Naomba nimpongeze Mh Balozi kwa juhudi zake kwa kukutana na wadau mbali mbali. Lazima tumshukuru mabalozi kama hawa! Naamini wengine pia wanaitumikia taifa; lakini kama hawatatujulisha - sisi hatuwezi kujua michango yao! Balozi Kamala ni mfano mzuri wa kuigwa. Kama tungekuwa na "Tuzi ya Balozi wa mwaka"; nisinge-hesitate kum-nominate!
ReplyDeleteKampuni ya ndege ya Brussels, tukiachana na TZ, kinahudumia nchi zote za EAC http://www.brusselsairlines.com/en-uk/destinations/africa/african-corner.aspx Pia, tunaomba makampuni zingine (kama Lufthansa na BA] zianze kutua moja kwa moja JNIA, AAKIA na KIA.