Balozi wa Tanzania Ubelgiji,Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Asasi ya Wereld Missie Hulp ya Ubelgiji Bwana Wim Smit (wa pili kutoka kushoto). Wa kwanza kulia ni Bi. Ilona Coster Meneja wa Miradi wa asasi hiyo na wa pili kutoka kulia ni Bwana Geoffrey Kabakaki Mchumi Mhandamizi katika Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Balozi Kamala amekutana na Uongozi wa Asasi ya Wereld Missie Hulp jijini Antwerpen Ubelgiji leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...