Home
Unlabelled
BBC DIRA YA DUNIA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwenye moja ya habari hizi kuna dogo (Nigeria) anasema akikua anataka kuwa rais, ili aisaidie familia yake. Hili haswa ndio tatizo letu waafrika na ndio maana bado tuna safari ndefu ya kuendeleza nchi zetu katika viwango ambavyo vitasaidia kuleta maendeleo ya wananchi wote. Ndoto ya kuwa rais wa nchi ni kitu kizuri, lakini lengo kuu liwe ni kusaidia nchi na wananchi wake (ambao ni sehemu ya familia yako pia), lakini kama lengo ni kusaidia familia kwanza, basi matokeo yake ndio haya yanayoendelea katika nchi nyingi Afrika. Inasikitisha kuona hata watoto wanafunzwa kuwa wabinafsi mapema kabisaaaaaa.
ReplyDelete