Msimu huu wa neema ya Mvua hapa jijini Dar ndicho kipindi muafaka kabisa kwa wafanyabiashara ndogondogo kubadili biashara zao.Pichani ni mmoja wa wafanyabiashara hao akiuza mwamvuli kwa mteja wake waliekuwa kwenye gari.
mmoja wa wafanyabiashara hao akielekea kilingeni kwake baada ya kutoka kujumua miamvuli tayari kwa kuiuza kwa wateja wake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Biashara ya miavuli wakati wa mvua hii inaonyesha jinsi tulivyo na wafanyabiashara wanaojua kuchangamkia fursa wakati muafaka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...