
Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao.

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe (kushoto) akisikiliza.

Vijana hao wakila kiapo mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe (kulia).Picha: K Vis blog
Hovyo!!!!
ReplyDeleteMie sina matatizo na hawa vijana na majina yao ya brigade etc, Sipendi ule uaskari militarism.Jeshi is a fighting instrument, we must move away from this mentality of fight, fight.
ReplyDeleteDa!
ReplyDeletethis is not good, au ni mimi tu nasikia harufu hapa.
ReplyDeleteKunyata anyate kinyonga, akinyata kicheche mwizi wa kuku.....hili ni dongo kwa wote mliotoa maoni hapo juu...
ReplyDeleteHawa nivsawa na boko haram. Damn it. Tutskuwa kama nigeria!
ReplyDelete