“Zanlink ambayo sasa
inatumia teknolojia ya FIBER, inapenda kuwatangazia kuwa imeanzisha kifurushi
cha huduma ya mtandao katika fiber, ambacho kinaitwa “Home Pack”.
Huduma ya
kifurushi hiki kinapatikana kwa wateja wanaokaa maeneo ya Stone town, Mlandege,
Mbweni, Chukwani, Mazizini, Kiembe Samaki na Mombasa. Maeneo mengine yatafuata
karibuni
Kifurushi hiki
kinapatikana kwa bei nafuu na ni mahususi kwa watumiaji wa majumbani wa huduma
ya mtandao (internet), kina spidi ya 512 kbps muda wa mchana na spidi ya 2 mbps
muda wa usiku na wikend. Kwa maelezo zaidi unaombwa ufike ofisi yetu iliyopo mtaa
wa Vuga baina ya Sinema ya zamani ya Majestik na ofisi za zamani za SUZA.
Sasa unaweza kujiunga
na kufurahia huduma ya uhakika na ya bei nafuu kwenye Fiber.”
“Get FIBER”
“Zanlink which is now
on Fiber, is happy to inform you that it has launched fiber business internet
packages which have high speeds to meet your daily business bandwidth
requirements. These service plans are currently available to customers within
the Stone town, Mlandege, Mbweni, Chukwani, Mazizini, Kiembe Samaki and Mombasa
areas. Other areas will follow soon.
Due to the importance
bandwidth speeds for business use, we have plans that have data caps with
speeds ranging from 2 mbps to 4 mbps as well as various unlimited bandwidth
plans to ensure you have the highest speeds available. For more information on
how to get FIBER, please visit our office along Vuga Street, right between the
Old Majestic Cinema and the former SUZA office building and get “Fibered”.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...