Na Woinde Shizza,Arusha
Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma wanatarajiwa kuwasha moto ndani ya ukumbi mpya wa kisasa ujulikanao kwa jina la Flomena uliopo wilayani hai mkoani Kilimanjaro usiku wa jumatatu ya pasaka .
Akizungumza na waandishi wa habari muandaaji wa onyesho hilo Swaum kileo alisema kuwa ameamua kuwaleta bendi hiyo katika uzinduzi huo ili kuweza kuwafurahisha wananchi wa mkoa wa kilimanjaro na mikoa jirani katika sikukuu hiii ya pasaka.
Alisema kuwa bendi hii inamda mrefu sana aijafika wilayani hai ivyo wameamu kuileta ili wakazi wa wilaya hiyo nao wafurahie mziki wa dance unaofanywa na bendi hiyo.
Alisema kuwa bendi hii inamda mrefu sana aijafika wilayani hai ivyo wameamu kuileta ili wakazi wa wilaya hiyo nao wafurahie mziki wa dance unaofanywa na bendi hiyo.
Alitaja kiingilio cha onyesho hiyo kuwa ni shilingi 10000 za kitanzania huku akiwataja wathamini wa onyesho hilo kuwa ni Swaum fashion ,Tbl , libeneke la kaskazini blog pamoja , faraja saloon pamoja na Radio five.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
TAFADHARI WAFUNDISHE WATU WETU WAWE NA UZALENDA NA NCHI YETU, HUWEZI ISHI TANZANIA WAKATI ETI UNAIPENDA USA, UNACHEKESHA, VAA BENDELA YA TANZANIA NDO KWENU.
ReplyDeleteHuna habari kua nchi imeuzwa?? wa wapi wewe??
ReplyDelete