Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Inaonesha wazi wahusika hawasomi maoni yetu na hawataki kushauriwa, Tunaomba haya matembezi yafanyike maeneo ambayo mauaji yanatokea na elimu ifanyike huko au kama mnataka mfanye ili mreadi mfanye alafu mgawane hizo pesa hapo sawa ila kama mnataka kuleta mabadiliko ya kweli basi muda bado mnao wa kuyapeleka haya matembezi ktk maeneo ya kanda ya ziwa ili elimu ifike huko na kuwalinda hawa ndugu zetu.

    ReplyDelete
  2. Naona dili la kugawana mshiko limekaribia kwahiyo waungwana baada ya tarehe 29 tukutane kwenye viti virefu tupate moja bariiidi moja moto....fundiiii nipigie kabisa bei ya kumwaga rinta

    ReplyDelete
  3. Pesa nyingi zinakusanywa mpaka sasa tunaomba ziwekwe wazi kuanzia matumizi mpaka michango na wakati huohuo zisitumike kuandaa matamasha pekee then ikaishia kutoa matamko mjini wakati inatakiwa kufanyika vijijini mahali palipo na elimu duni na vifo vingi vya ndugu zetu vikiendelea, Ushauri tu haya matembezi yafanyike popote pale ndani ya kanda ya ziwa eneo la tukio badala ya DSM lasivyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.

    ReplyDelete
  4. Pesa nyingi zinakusanywa mpaka sasa tunaomba ziwekwe wazi kuanzia matumizi mpaka michango na wakati huohuo zisitumike kuandaa matamasha pekee then ikaishia kutoa matamko mjini wakati inatakiwa kufanyika vijijini mahali palipo na elimu duni na vifo vingi vya ndugu zetu vikiendelea, Ushauri tu haya matembezi yafanyike popote pale ndani ya kanda ya ziwa eneo la tukio badala ya DSM lasivyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...