Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wakuu wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Kigali, Rwanda, mchana huu. Wengine toka kulia ni Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, mwenyeji wao Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Salva Kiir wa Sudani ya Kusini ambaye amehudhuria kama mwalikwa. Picha na Fred Maro
Home
Unlabelled
JK AHUDHURIA KIKAO CHA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI KIGALI, RWANDA, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi sana Jakaya Kikwete kwa Kuingia Jijini Kigali bila wasiwasi na kuhudhuria Kikao !
ReplyDeleteUmewaondoa wasiwasi wana Afrika ya Mashariki waliofikiri Mzozo wa Kidiplomasia kati ya Kigali na Dar ungalipo.
JK kama Chuck Norris!!!
ReplyDeleteAzama ndani ya Kigali bila woga.
Haya sasa ''JEMADARI Jakaya Kikwete'' ndiyo huyo ameshakuja kwako Kigali tena bila woga wala manung'uniko ni zamu yako na wewe Kagame mwenye nongwa na visasi Darisalam!!!
ReplyDeleteEnheee Paul Kagame uliogopa kuja Dar Es Salaam sasa umeona Askari wa Majeshi JK ameingia kwako tena bila wasiwasi?
ReplyDeleteAma kweli Kikwete Askari!
ReplyDeleteAmeingia Kigali kama Komandoo vile?
Ama kweli Kikwete ndiye Raisi wa Afrika ya Mashariki !
ReplyDeleteHaya sasa nongwa ya Maraisi wa EAC kukwepana ipo wapi tena?
mbona rais wa burundi hayupo??
ReplyDeleteDuhhh ebwana eee ingekuwa powa Sana Kama Paul Kagame mwana Yanga mwenzetu ambaye pia ni Arsenal angechukua jet na JK akatimba Dar tukacheki wote Taifa kesho Simba na Yanga!!!
ReplyDeleteHana nauli
ReplyDeleteKachelewa tu kesho atafika
ReplyDeleteKaribu PK wa Kigali na wewe uje Dar Es Salaam Kama ilivyokuwa unakuja siku zile zamani!,,,tena uje kabla ya Jakaya Kikwete hajamaliza Uraisi Oktoba hii 2015. !
ReplyDeleteUsisubiri Raisi mpya Tanzania ndio uje, kama Wadau hapo juu Jamvivini humu wasemavyo, acha kuendekeza nongwa na visasi. U
Ndugu zangu ndugu zangu naombeni kuweni makini na maoni yenu, Maoni yote mliyotoa hapo juu hayana faida kwa pande zote...Kumbukeni Ulimwengu unaangalia on your own reactions.
ReplyDeletePlease let us use wisdom and remain calm for a better tomorrow.
Tushirikiane, tufanye kazi kwa bidii, Amani, na Upendo utawale.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Sisi watanzania ni watu wakarimu sanahatupendi vagi lakini ukituchokoza utakiona, nongwa wanakuaga nazo jirani zetu
ReplyDelete