Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wakuu wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Kigali, Rwanda, mchana huu. Wengine toka kulia ni Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, mwenyeji wao Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Salva Kiir wa Sudani ya Kusini ambaye amehudhuria kama mwalikwa. Picha na Fred Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Safi sana Jakaya Kikwete kwa Kuingia Jijini Kigali bila wasiwasi na kuhudhuria Kikao !

    Umewaondoa wasiwasi wana Afrika ya Mashariki waliofikiri Mzozo wa Kidiplomasia kati ya Kigali na Dar ungalipo.


    ReplyDelete
  2. JK kama Chuck Norris!!!

    Azama ndani ya Kigali bila woga.

    ReplyDelete
  3. Haya sasa ''JEMADARI Jakaya Kikwete'' ndiyo huyo ameshakuja kwako Kigali tena bila woga wala manung'uniko ni zamu yako na wewe Kagame mwenye nongwa na visasi Darisalam!!!

    ReplyDelete
  4. Enheee Paul Kagame uliogopa kuja Dar Es Salaam sasa umeona Askari wa Majeshi JK ameingia kwako tena bila wasiwasi?

    ReplyDelete
  5. Ama kweli Kikwete Askari!

    Ameingia Kigali kama Komandoo vile?

    ReplyDelete
  6. Ama kweli Kikwete ndiye Raisi wa Afrika ya Mashariki !

    Haya sasa nongwa ya Maraisi wa EAC kukwepana ipo wapi tena?

    ReplyDelete
  7. mbona rais wa burundi hayupo??

    ReplyDelete
  8. Duhhh ebwana eee ingekuwa powa Sana Kama Paul Kagame mwana Yanga mwenzetu ambaye pia ni Arsenal angechukua jet na JK akatimba Dar tukacheki wote Taifa kesho Simba na Yanga!!!

    ReplyDelete
  9. Kachelewa tu kesho atafika

    ReplyDelete
  10. Karibu PK wa Kigali na wewe uje Dar Es Salaam Kama ilivyokuwa unakuja siku zile zamani!,,,tena uje kabla ya Jakaya Kikwete hajamaliza Uraisi Oktoba hii 2015. !
    Usisubiri Raisi mpya Tanzania ndio uje, kama Wadau hapo juu Jamvivini humu wasemavyo, acha kuendekeza nongwa na visasi. U

    ReplyDelete
  11. Ndugu zangu ndugu zangu naombeni kuweni makini na maoni yenu, Maoni yote mliyotoa hapo juu hayana faida kwa pande zote...Kumbukeni Ulimwengu unaangalia on your own reactions.

    Please let us use wisdom and remain calm for a better tomorrow.

    Tushirikiane, tufanye kazi kwa bidii, Amani, na Upendo utawale.

    Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.

    ReplyDelete
  12. Sisi watanzania ni watu wakarimu sanahatupendi vagi lakini ukituchokoza utakiona, nongwa wanakuaga nazo jirani zetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...