Jumapili hii njoo ushuhudie mchuano wa nguvu kutoka kwa ma Dj wakali wa bongo watakaochuana pale juu ni @djzeroxxl @chokadj na @djvasley hii ni ndani ya @bilznightclub pekee! Unakosaje kushududia ni Dj gani atapagawisha zaidi? Airtel watatoa zawadi kibao πππKiingilo ni buku 10 tu TAG kuwajulisha washkaji π FOLLOW: @airtel_tanzania
Home
Unlabelled
Jumapili hii njoo ushuhudie mchuano wa nguvu wa ma-DJ wakali club bilicanas
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...