Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Darasa zuri la kufungua mawazo yetu.

    Tujitahidi kuweka akiba na kuwekeza hata kama ni kwenye vitu vidogo ambavyo vitaongeza mapato.

    Siyo kutumia tu kwa vitu visivyo na maana.

    Sisi Watanzania siku hizi utaona kijana ndiyo kwanza ameajiriwa anatafuta mkopo wa gari ambao unazidi kumnyonya fedha zake, badala ya kufanya jambo la maana la kumuingizia fedha kwanza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...