Mkurugenzi
Mtendaji wa Times Radio Fm, Mr. Rehure Nyaulawa (kushoto) akimkabidhi
msaada wa mashuka Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk, Sophinias
Ngonyani (kulia) mara baada ya Timu nzima ya Kipindi cha Maskani
kilipopiga hodi hospitalini hapo kutoa misaada ya mashuka yapatayo 200
kwa ajili wodi ya akina mama na watoto. Msaada huo ilikuwa ni kuunga
mkono maadhimisho ya wanawake duniani inayoadhimishwa leo Machi 8,
duniani kote. Wanaoshuhudia ni Mbunge wa Kinondoni Mhe. Idd Azzan na
Mkurugenzi wa Mazinat Bridal Maza Sinare. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya
Siku ya Wanawake Duniani ni 'Uwezeshaji Wanawake, Tekeleza Wakati ni
Sasa'.
Wakifurahia msaada.
Mtangazaji
wa Kipindi cha Maskani ya Times Fm, Stanslaus Lambat (wa kwanza kulia)
akiendelea kurusha matangazo live toka eneo la tukio.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...