Baadhi ya wafanyabiashara wakiwa nje ya maduka yao mara baada ya kuamua kuyafunga kwa kile wanaochodai kufanya mgomo kwa lengo la kumuunga mkono Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Johnson Minja ambaye kesi yake inasikilizwa mkoani Dodoma.


Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa baadhi ya maduka yaliyoko Double road.


Maduka yaliyopo katika jengo la Halmashauri ya manispaa ya Moshi lenye ghorofa mbili pia hali ilikuwa hivi.


Pilika pilika zilizozoeleka katika kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi hazikuonekana katika kituo hicho,kufuatia mgomo wa wafanyabiashara wa maduka kutofungua kwa kile kinachodaiwa kuungana kwa wafanyabiashara hao katika mgomo.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ha ha ha! Funny. Hebu tuone yatafungwa kwa muda gani! Pesa mbele Bwana!

    ReplyDelete
  2. akifungwa sijui watagoma milele. naona wameshatengeneza mchele wa kutosha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...