Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda akisikiliza maelekezo kutoka kwa Daktari Hawa Omary wa Hospitali ya Mwananyamala Jiji Dar es Salaam leo,wakati alipotembelea kuoa maendeleo ya Hospitali hiyo.Wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo,Dkt. Sophinias Ngonyani.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda akizungumza na wananchi waliofika katika Hospitali ya Rufaa ya Mwanyamala kupatiwa huduma ya matibabu,leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo,Dkt. Sophinias Ngonyani.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akipewa maelekezo kutoka kwa Mtaalam wa X-Ray,Dkt. Benedicto Luoga jinsi ya ufanisi wa mashine ya X-Ray katika Hospitali ya Palestina,Sinza jijini Dar es salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...