Baadhi ya washiriki wa Matembezi ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani wakiwemo Wafanyakazi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya matembezi yao hayo yaliyoanzia na kumalizikia katika hoteli ya Ledger iliyopo Bahari beach kupiti Kunduchi Beach Jijini Dar es Salaam jana.
Washiriki wa Matembezi hayo wakiwa tayari kwa Matembezi.
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Mwanaidi Shemweta (kushoto) akiwa na baadhi ya watoto wa Kituo cha Kulea Watoto ya Yatima cha New Hope Girls walioshiriki Matembezi ya Siku ya Wanawake yaliyofanyika katika hoteli ya Ledger iliyopo Bahari beach jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...