Mtanzania
mwenye asili ya Kiarabu, Sammy al Mahri, aishiye Uingereza akiwa chini
ya ulinzi wa polisi, wakati akipelekwa kizimbani katika mahakama ya
Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam,leo, kusomewa mashitaka ya
kumuua mpenzi wake nchini Uingereza. Mahri anadaiwa kukimbilia Tanzania
baada ya kufanya mauaji hayo. Picha na Khamis Mussa
Home
Unlabelled
mtuhumiwa wa mauaji nchini uingereza apandishwa kizimbani mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...