Kituo kinacho jihusisha na tiba asilia na huduma ya vyakula-lishe kwa wenye kusumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya, inatangaza nafasi za kazi ya usambazaji dawa kwa wateja wake waliopo katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar Es salaam.
SIFA ZA MWOMBAJI :
1. Awe wa jinsia ya kike
2. Elimu isiyopungua darasa la saba na isiyo zidi kidato cha nne.
3. Awe msafi, maridadi, mwaminifu na anayejituma.
4. Awe anaishi jijini Dar Es salaam.
MAJUKUMU YA KAZI :
Kusambaza dawa zetu kwa wateja wetu waliopo katika kata mbalimbali za jiji la Dar Es salaam.
IDADI YA NAFASI :
NAFASI HAMSINI ( 50 ).
MALIPO :
Shilingi ELFU KUMI KWA SIKU.
Andika maombi yako ya kazi kupitia barua pepe yetu ambayo ni :
neemarecruitmentagency@gmail.com
Maombi yako yaelekezwe kwa MKURUGENZI MTENDAJI, NEEMA RECRUITMENT AGENCY.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 21 MACHI 2015.
Kazi kuanza tarehe 30 MARCH 2015
Habari nauliza hamjatoa tena ajira?
ReplyDelete