Timu ya Pazi wanaume wakipata picha ya pamoja na mashabiki wao walipokua nyumbani kwa madikodiko ambaye pia ni mmoja wa waratimu wa tamasha hili la kumbukumbu ya timu hiyo iliyowika miaka mingi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Tamasha hili lililobeba jina la Pazi Reunion litafikia tamati leo Jumamosi March 14, 2015 kwa mechi kadhaa na kuakumbuka na kuaenzi viongozi na wachezaji wa timu hiyo waliotangulia mbele ya haki.
Patrick Mwigula kutoka South Carolina na Atiki Matata kutoka Uingereza wachezaji wa Pazi waliowika miaka ya nyuma wakijadili mchezo wa leo kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Kwahiyo hawa Pazi wote walikimbia?? wanabeba box kwa sasa??? ila poa bora mkono wende kinywaji???hahahahaha nayatafuta hapa!
ReplyDeleteNao watoto wote wa mujini miaka ile walikimbia Bongo, ni Ankali tu ndiye yaliyeachwa Bongo.
ReplyDeleteAnkali,
ReplyDeleteSi bure Michuzi una mtandao mkubwa sana kona zote za dunia maana wale wote uliokuwa unawapiga picha za mnato jijini DSM miaka ya 1980's na 1990's wote wamekuwa ''Diaspora''.