Benki ya NMB ndio benki pekee yenye matawi katika kila wilaya hapa nchini.Hivyo basi ndio benki pekee inayowajali wateja wake kwa kua karibu zaidi wakati wote.NMB imekua ikiandaa semina elekezi kwa wateja wake .Sasa ilikua zamu ya wakulima na wadau wote wa kilimo cha kahawa wameweza kupata fursa ya kujua huduma mbali mbali zitolewazo na NMB kwa ajili ya wakulima na wadau wote wa hudiuma za kibenki
Hivi karibuni NMB iliandaa semina kwa ajili ya wadau wa biashara za Kilimo ambayo imeendeshwa katika mikoa mbali mbali ikiwmo Tabora na Mbeya
![]() |
Wadau wa Kilimo cha
Kahawa Mkoa wa Mbeya wakifuatilia jambo
wakati wa semina ya kilimo cha kahawa iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili
ya wateja wake ambao ni wadau wa Kilimo Tanzania
|
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...