Home
Unlabelled
SHEIKH MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO SHEIKH ABDULKADIR MOHAMED RAMIYA ATOA TAMKO LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tulijuwa tu wale waliojiita masheikh 50 kutoka Bagamoyo walikuwa ni wapiga ramli nasi wawakilishi wa Uislamu,
ReplyDeleteInashangaza sana na itashangaza sana kuona kiongozi au viongozi wa dini kuwa wapiga debe wa mwanasiasa,hivi Bagamoyo kuna madrasa ngapi zisizo na paa wa vifaa vya kusomeshea,kuna misikiti migapi haina majengo mazuri na inahitaji matengenezo,leo masheikh 50 wasafairi kutoka bagamoyo hadi Dodoma! na kutoa Tsh.700,000 nani kawalipia nauli na hotel ya kulala
hii kweli bongo move
Mimi ni musialm na mkazi wa Bagamoyo. Siwakilishwi na chombo chochote kile kinachojiita kuwa ni EXCLUSIVE kuwakilisha waislam Tanzania au Bagamoyo and in particular BAKWATA hainiwakilishi.
ReplyDeleteNapenda kuwajulisha kuwa BAKTWANA ni NGO ya kidini kama zilivyo NGO zinginezo tanzania na hawana mamlaka juu ya waislam woteTanzania ambao ttuko madhehebu mbali mbali.
-Yusuf Rashid Mwinyi,
bAGAMOYO.
assalam aleikum
ReplyDeletesheikh mkuu wa bwakwata wa wilaya au mkoa ni mwakilishi na msemaji wa wanachama wa bwakwatatu na sio waislamu wote.
bakwata ni taasisi ya kiraia kama taasisi nyengine na ina wanachama wake na sio kila mwislamu kama anavyodai huyo sheikh wa bagamoyo.
wabillahi tawfiq
Hapa ni wazi Mh Lowassa amechemsha na anaonesha wazi wazi kwamba hana washauri walio wazuri au hao washauri wanatumikia kambi nyingine na vile vile Mh Lowassa inaonesha hawezi kuwaza na kufanya maamuzi yaliyo mazuri.
ReplyDeleteUshauri:
1: Ningeomba Mh Lowassa ahachane na maswala yote ya kusema eti anaombwa sijui watu wanamtaka agombee Urais na asubiri muda ukifika na haya mambo sio mpaka uombwe ni maamuzi ya moyoni isije kazi ikakushinda baadae alafu ukasema ulilazimishwa.
2: Show off haina maaana yoyote na unawaonesha wananchi wa Tanzania walio wengi na wenye mtazamo kwamba upo very desperate na Urais na itatufanya tukuogope ata kama una nia nzuri.
3: Fukuza washauri wako wote kwa maana binafsi naona eidha hawakutakii mema, au hawataki upate urais au au wanatumiwa na kambi nyingine au wanataka wapate pesa zako tu maana kila wanachokushauri ni moja kwa moja none sense na ina backfire.
4: Kwa mwenendo huu unaufanya ni bura uendelee tu na biashara zako maana kila binadamu mwenye pesa hakuumbwa eti aje kuwa Rais.
5: Ukifanya 1-3 ata mimi naweza kushawishika na ukishindwa basi ningekuomba Mh endelea tu na kipengele namba 4 maana wazi wazi sisi kama sisi Watanzania wa kawaida kwakweli utatusamehe Mh hatukukubali ata kidogo kwa kila ufanyacho sasa, ulichofanya mara ya mwisho na kwa ufupi tu ungefanya ata Research kidogo tu kuona wananchi wanakufikiliaje na ungepata picha kwa maana wengi wanakuona wewe Mh ni kama FISADI tu ukiangalia yaliyotokea nyuma mpaka ukaacha PM hivyo basi chukua muda wako sasa kujisafisha na kuondoa dhana iliyopo kwa Watanzania badala ya kuwapa watu pesa wafanye Siasa chafu.
Nimetumia Demokrasia yangu kuweka maoni yangu na kuongelea ukweli na nimechukua muda wangu mwingi sana kuandika haya maoni na ushauri wa kweli ingawa sisi kama sisi Watanzania hatupendagi kushauriwa ila ni Ushauri wa wazi wazi na ni Mzuri kwako Mh kama kweli unataka kuwa Rais wangu badilika ila mpaka sasa Mh hauna sifa ya sisi Watanzania kukufanya uwe Rais wetu.